Mipango ya ujenzi wa Barabara za Dar es Salaam kwa kiwango cha lami 2018-2020.

Avictown

Member
Jan 16, 2018
98
56
Wakuu, naomba TANROAD mkoa wa Dar es Salaam wanisaidie kupata mpango wa ujenzi wa Barbara za Dar kwa kiwango cha lami. Naomba kujua Barabara gani zinazotakiwa kujengwa kwa kiwango cha lami kuanzia 2018-2020.
 
Back
Top Bottom