Mipango ya safari ya kwenda Marekani

Mipango ya safari ya kwenda Marekani

Nimeajiriwa kwenye moja ya big Audit firm hapa bongo.Sina mtu ila naweza tafuta.Kuhusu passport kwa sasa sina ila kuipata sio kazi.

Kipato changu kufikia hiyo hela kwenye account hapana ila naweza kusave kwa mwaka hiyo hela ilafika
Bali tu huko tandahima ulime magimbi usifosi vitu mwishowe ukaweka kituko huko
 
Kiranga kaweka bayana sehemu kubwa ya maelezo ambayo nami ningeyatoa kulingana na jibu la swali nililokuuliza...
Yeah man.

Kuongezea tu documents zikamilike na ziwe consistent. Ukikosea kidogo tu unaweza kufikiri ni kama wanatafuta sababu kukunyima visa tu.

Akisema anafikia hoteli fulani awe na full booking documents. Akisema anafikia kwa mtu fulani, mfano raia wa US, awe na invitation letter ya nguvu ya kutoka kwa huyo mtu.

Kitu kingine, ni muhimu kuwahi sana kukamilisha documents na kuomba visa waay ahead of the trip kwa sababu last time I checked ubalozi wa US unakuwa na watu wengi wanaomba visa kwa hiyo hata kupata appointment inaweza kuchukua muda.

Kuna kipindi nilimuandikia barua ya mualiko Profesa mmoja wa UDSM alikuwa na kila document lakini alichelewa kuja tarehe aliyotaka kwa sababu ya kutopata visa interview appointment on his time
 
Yeah man.

Kuongezea tu documents zikamilike na ziwe consistent. Ukikosea kidogo tu unaweza kufikiri ni kama wanatafuta sababu kukunyima visa tu.

Akisema anafikia hoteli fulani awe na full booking documents. Akisema anafikia kwa mtu fulani, mfano raia wa US, awe na invitation letter ya nguvu ya kutoka kwa huyo mtu.

Kitu kingine, ni muhimu kuwahi sana kukamilisha documents na kuomba visa waay ahead of the trip kwa sababu last time I checked ubalozi wa US unakuwa na watu wengi wanaomba visa kwa hyo hata kupata appointment inaweza kuchukua muda.

Ok asante.
 
Kwenda huko kutakusaidia nini! Bora uende Iran au North Korea.

Ukute ndugu zako wengine hata kula imeshindikana,wewe unaandaa bajeti ya kuwatembelea wahuni tu.
Mkuu

Kwani wewe umekatazwa kwenda Iran au North Korea?

Si uanzishe na wewe uzi wako ukiomba ushauri wa jinsi ya kwenda Iran au North Korea, wadau watakupa tu ushauri.

Mimi nina mtu wangu mmoja Mtanzania alishaenda North Korea ukitaka mchongo nitakuunganishia.
 
Kwenda huko kutakusaidia nini! Bora uende Iran au North Korea.

Ukute ndugu zako wengine hata kula imeshindikana,wewe unaandaa bajeti ya kuwatembelea wahuni tu.
Mtu kaomba ushauri,unampangia namna ya kuishi..Bora ungepita tu,dunia ina nchi 200+ ila yeye kachagua USA kwann umpangie?Naenda ww huko unapotaka ww
 
Habari za humu wadau,

Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye ndoto ya kufika marekani.

Sasa mwisho mwa mwaka 2024 ninaplan nikipata likizo niende japo nikanyage tu nirudi.

Sasa niweze kusave kiasi gani cha pesa mpaka kufikia muda huo niweze ingia kwa Biden na hatimaye ndoto yangu kutimia?
Hamia jimbo la Kawe, Mheshimiwa alitoa ahadi ya kuwafikisha huko wapiga kura wake.
 
Yeah man.

Kuongezea tu documents zikamilike na ziwe consistent. Ukikosea kidogo tu unaweza kufikiri ni kama wanatafuta sababu kukunyima visa tu.

Akisema anafikia hoteli fulani awe na full booking documents. Akisema anafikia kwa mtu fulani, mfano raia wa US, awe na invitation letter ya nguvu ya kutoka kwa huyo mtu.

Kitu kingine, ni muhimu kuwahi sana kukamilisha documents na kuomba visa waay ahead of the trip kwa sababu last time I checked ubalozi wa US unakuwa na watu wengi wanaomba visa kwa hyo hata kupata appointment inaweza kuchukua muda.

Kuna kipindi nilimuandikia barua ya mualiko Profesa mmoja wa UDSM alikuwa na kila document lakini alichelewa kuja tarehe aliyotaka kwa sababu ya kutopata visa interview appointment on his time
Mkuu wewe ni muhaya bila shaka.....sorry lakini npo kwenye utafiti
 
Mkuu,

Kwa nini unasema hivyo?

Mimi si Muhaya. Ila hata nikiwa Muhaya si hatari, Wahaya ni ndugu zangu poa tu. Na ukabila kama alivyosema Nyerere umebaki kwenye kutambika tu dunia ya leo.

Ila kuna sehemu nilikiwa nafanya kazi Dar, Secretary mmoja alipojua kabila langu akaniambia "mimi siku zote nilikuwa najua wewe ni Muhaya...".

Nafikiri ni kwa sababu ya Kiingereza.

Apparently mtu ukiongea Kiingereza kwa kujiamini mpaka leo Watanzania wengi wanajua wewe Mhaya.
 
Mtu kaomba ushauri,unampangia namna ya kuishi..Bora ungepita tu,dunia ina nchi 200+ ila yeye kachagua USA kwann umpangie?Naenda ww huko unapotaka ww
Kuna watu wana chuki sana na USA.

Wakisikia USA lazima waponde kiaina na kuchomeka Iran na North Korea.

Wakati hata huu mtandao wanaotumia kuiponda USA, umetengenezwa na USA.

Baniani mbaya, kiatu chake dawa.
 
Back
Top Bottom