Mipango ya safari ya kwenda Marekani

Mipango ya safari ya kwenda Marekani

Godwin peter

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2019
Posts
374
Reaction score
638
Habari za humu wadau,

Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye ndoto ya kufika marekani.

Sasa mwisho mwa mwaka 2024 ninaplan nikipata likizo niende japo nikanyage tu nirudi.

Sasa niweze kusave kiasi gani cha pesa mpaka kufikia muda huo niweze ingia kwa Biden na hatimaye ndoto yangu kutimia?
 
Habari za humu wadau,mimi ni kijana wa kitanzania mwenye ndoto ya kufika marekani…sasa mwisho mwa mwaka 2024 ninaplan nikipata likizo niende japo nikanyage tu nirudi…sasa niweze kusave kiasi gani cha pesa mpaka kufikia muda huo niweze ingia kwa Biden na hatimaye ndoto yangu kutimia.

Nenda pia kwenye website yao ukayasome.
 
Habari za humu wadau,mimi ni kijana wa kitanzania mwenye ndoto ya kufika marekani…sasa mwisho mwa mwaka 2024 ninaplan nikipata likizo niende japo nikanyage tu nirudi…sasa niweze kusave kiasi gani cha pesa mpaka kufikia muda huo niweze ingia kwa Biden na hatimaye ndoto yangu kutimia.

Unafanya kazi gani hapa bongo?
Una mtu US?
Una passport?
Vipi kapato chako unaweza fikia dola5000, kwa account?
 
Habari za humu wadau,

Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye ndoto ya kufika marekani.

Sasa mwisho mwa mwaka 2024 ninaplan nikipata likizo niende japo nikanyage tu nirudi.

Sasa niweze kusave kiasi gani cha pesa mpaka kufikia muda huo niweze ingia kwa Biden na hatimaye ndoto yangu kutimia?

Unataka kwenda kama mtalii au kwa mwaliko wa ndugu...?
 
Unafanya kazi gani hapa bongo?
Una mtu US?
Una passport?
Vipi kapato chako unaweza fikia dola5000, kwa account?

Nimeajiriwa kwenye moja ya big Audit firm hapa bongo.Sina mtu ila naweza tafuta.Kuhusu passport kwa sasa sina ila kuipata sio kazi.

Kipato changu kufikia hiyo hela kwenye account hapana ila naweza kusave kwa mwaka hiyo hela ilafika
 
Habari za humu wadau,

Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye ndoto ya kufika marekani.

Sasa mwisho mwa mwaka 2024 ninaplan nikipata likizo niende japo nikanyage tu nirudi.

Sasa niweze kusave kiasi gani cha pesa mpaka kufikia muda huo niweze ingia kwa Biden na hatimaye ndoto yangu kutimia?
Kikwazo kikubwa ni kuuthibitishia ubalozi kwamba unakwenda kutalii kwa muda na utarudi kwenu. Kutimiza vigezo vyao vya kukupa visa.

Inabidi uoneshe ties hapo nyumbani, kazi, biashara, mali zisizohamishika. Bank statements, barua za kazini etc.

Bila kutimiza vigezo na kupata visa, gharama haziwezi hata kuwa na umuhimu kwa sababu hutakuwa na kibali cha kuingia Marekani.

Kuhusu gharama, inategemea unakwenda Marekani sehemu gani na ukifika Marekani utataka kuzunguka sehemu gani, unataka kufanya nini, etc.

Ila, kwa likizo standard ya wiki mbili, uwe na uhakika wa angalau $7,000.

Unaweza pia kupunguza gharama sana kwa kuongea na wenyeji wakakuonesha njia za kuangalia miji bila kutumia gharama kubwa, kwa mfano, kama ukipata mwenyeji anayeweza kukupokea ukawa naye badala ya kukaa hotelini.
 
Ok asante
 
Nimeajiriwa kwenye moja ya big Audit firm hapa bongo.Sina mtu ila naweza tafuta.Kuhusu passport kwa sasa sina ila kuipata sio kazi.

Kipato changu kufikia hiyo hela kwenye account hapana ila naweza kusave kwa mwaka hiyo hela ilafika

Bas kwanza kata passport pili kabla ya kufikilia michakato yoyote makesure kwenye account walau haipungui dola 5000, ndo tukupe details zinazohitajika ila kuna mdau kesha toa hint baadhi kama barua ya kazin kwenu documents za assets nk vitahitajika nakufanya iyo michakato yote ni pesa mkuu kwaiyo naona huanze na passport then pesa then ndo vingine vifate hatua kwa hatua
 
Back
Top Bottom