Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,566
Last edited by a moderator:
CHADEMA kweli ni UMA tena yakulia chipsi,Chama Cha Wachache wanaojipa madaraka kiundugu kimapenzi na Kihawara,Chezea CCM wewe chama cha Watanzania wa Matabaka yote
That is exactly the case. Nilishangaa watu humu kuanza kumita kamanda.Kama anatumikia hela atarudi
CHADEMA kweli ni UMA tena yakulia chipsi,Chama Cha Wachache wanaojipa madaraka kiundugu kimapenzi na Kihawara,Chezea CCM wewe chama cha Watanzania wa Matabaka yote
CHADEMA kweli ni UMA tena yakulia chipsi,Chama Cha Wachache wanaojipa madaraka kiundugu kimapenzi na Kihawara,Chezea CCM wewe chama cha Watanzania wa Matabaka yote
Atakuwa kama Nakaya,yani atakuwa kama vile anagundu na ataona mambo hayaendi
Dalili za kifo utaziona tu, mtu anahangaika vibaya hata njia huwa haoni. Jingine hili linatapatapa!!!!!CHADEMA kweli ni UMA tena yakulia chipsi,Chama Cha Wachache wanaojipa madaraka kiundugu kimapenzi na Kihawara,Chezea CCM wewe chama cha Watanzania wa Matabaka yote
Philosophy imekupiga chenga?
Please dont acronymise that filth guy EL because EL is synonym to GOD! How can such filth guy bear such a sanctified name just call him EdL please!
CHADEMA kweli ni UMA tena yakulia chipsi,Chama Cha Wachache wanaojipa madaraka kiundugu kimapenzi na Kihawara,Chezea CCM wewe chama cha Watanzania wa Matabaka yote
Huwa nashangaa sana hivi James Ole Millya analipi jipya atakalofanya ndani ya CCM Mkoani Arusha kwa sasa ambalo alishindwa kulifanya wakati huo? Tuwe watu ambao si wanafiki na washabiki kwa mambo ambayo hayana msingi huko aliko hamna mchango wowote wa maana alioutoa ni matatizo matupu!