Mipango ya 2015 Timu ya Lowassa yateua msemaji!

Patamu hapo....muda ndie msema kweli..
 

inakuweje unajua yote haya kama sio wewe
 
Mtanange wa kumpata mgombea urais ndani ya CCM una msisimko kuliko hata kumtafuta Rais wa Jamhuri hii ya Tz,hapa ndio nitashuhudia mwisho wa CCM......Mola tujalie uzima na afya.
 
Mwinyi kwao ni Mkuranga.........!!!

Zanzibar hawajawahi kutoa Rais.

We weweee Nyamaza kabisa msitufanye hatujuhi. Mambo ya wizara ya Muungano kutuwekeea waziri Mzanzibari msifikiri sisi wajinga.

Mwinyi Junior ni Mbunge wa wapi vile? Malima Je?
 
Nasikia Ana mpango wa kwenda wilaya ya kisarawe ktk harambee mwalimu nyerere alimkataa Huyu Mtu sisi kwaNjaa zetu tunamkumbatia
 
hiyo mijadala tulishaimaliza sasa tunajadili namna ya kuongoza serikali chini ya LOWASA.labda niulize hayo,ya nani atakuwa rais hayo hatujadili tena kwani anajulikana
Bado mna mpango wa kumteua Kapuya kuwa Waziri Mkuu wenu? Aaaaah sorry umesoma msemaji ni Liongo
 

umerogwa wewe na aliyekuroga ameshafariki.
 

Kabla hayajajibiwa maswala hayo ya kimaadili hayo mengine hayamhusu lowasa maana tunaandika katiba mpya idadi ya mawaziri na ukubwa wa serikali hayatakuwa maamuzi ya rais tena.. Kwahiyo mawazo ya kijima ondoa.. Huyo fisadi wenu hauziki kwa watanzania.. akafanya biashara na swahiba wake Rostam..
 
Wasemaji wengine wa Lowassa ni, balile, manyerere, beatrice, basha, pinto, mbonea . . . . .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…