Mipango miovu ya CHADEMA kuivuruga ACT


Waasisi na wanachama wa ACT wameita press conference na kuhoji kwa nini viongozi wa ACT yani Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba wanabadili nembo ya chama na kutengeneza katiba nyingine kienyeji bila kuhusisha waasisi na wanachama??
 
Last edited by a moderator:
Pambaneni na walio shika dola achanani na uchwara wenu
 
Iv wahasisi wa vyama wanapimwaga akili kwanza kabila ya chama chao kusajiliwa?
 
Mhuu.... hawa jamaa wameona moto wa CDM si wa kawaida na hasa baada ya mwenyekiti wao kung'ang'ania CDM. Kwa hiyo wanajihami kabla ya hatari.
 

Sintoshangaa ikisemwa huu ni mchango wa yule Prof. aliyepewa onyo huko uvccm~ act
 
Chadema ina sifa gani? vurugu na maandamano?

Hivi maandamano ni kosa? Yangetambulika kisheria katika katiba za nchi zote? Ni bora wakati mwingine ukakaa kimya watu wakahisi wewe ni mjinga kuliko kuropoka ropoka ukathibitisha kwa watu kuwa wewe ni zezeta tu. Utatumiwa mpaka lini?
 
Chama cha watu Duni na hafifu ACT imekufa kabla haijaanza.
ACT kinaongeza idadi ya Vyama vya kula makombo ya ccm kama UDP, UPDP na mazuzu wengine
 
ACT ni chama cha ajabu mno

yan ni chama pinzani lakin kimeundwa kwa malengo la kupambana na vyama pinzan

hahahahhahaha
 

Mara nyingi aliye na tabia ya wizi hufikiri na wenzake ni wezi. We projected to others what we feel and do. Kwa vile nyie hutumia mbinu ya kuwahonga watu kwa manufaa yenu na waliowapa mradi huo "ACT" wakuvuruga na kulemaza democrasia nchini, mnafikiri na wenzenu hutumia mbinu hizo.

Huku ni kuzeeka kifikra na kimtazamo kabla ya umri tazamiwa wa kuzeeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…