Kafie mbele! CDM haina muda na takataka hizi!Kikao kilichofanyika wiki iliyopita kilichoongozwa na Dr. Slaa kimepanga kuhakikisha chama cha ACT hakipati ushindi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Chadema kimepanga kuwarubuni wagombea wa ACT na kukihujumu kwa kukichafua kwenye vyombo vya habari kwa kutumia kurugenzi ya habari..
Kuwalisha maneno vijana wa ACT ili kuvuruga Chama.
Chadema acheni michezo michafu kuwahonga vijana wa ACT huko ni matumizi mabaya ya ruzuku.
Propaganda uchwara! ACT yenu hiyo imekwishakufa hata kabla ya kuzaliwa!Chadema acheni kuwahonga vijana wa ACT ili wavuruge chama mnaua demokrasia
Mnataka sifa kupitia mgingo wa CDM?
Kikao kilichofanyika wiki iliyopita kilichoongozwa na Dr. Slaa kimepanga kuhakikisha chama cha ACT hakipati ushindi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Chadema kimepanga kuwarubuni wagombea wa ACT na kukihujumu kwa kukichafua kwenye vyombo vya habari kwa kutumia kurugenzi ya habari..
Kuwalisha maneno vijana wa ACT ili kuvuruga Chama.
Chadema acheni michezo michafu kuwahonga vijana wa ACT huko ni matumizi mabaya ya ruzuku.
Sasa kama CDM hawana sifa ni kwa nini mnahofu kwamba watawavuruga? Kwa utaahira huu ni kweli inabidi mvurugwe!!!Chadema ina sifa gani? vurugu na maandamano?
Kikao kilichofanyika wiki iliyopita kilichoongozwa na Dr. Slaa kimepanga kuhakikisha chama cha ACT hakipati ushindi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Chadema kimepanga kuwarubuni wagombea wa ACT na kukihujumu kwa kukichafua kwenye vyombo vya habari kwa kutumia kurugenzi ya habari..
Kuwalisha maneno vijana wa ACT ili kuvuruga Chama.
Chadema acheni michezo michafu kuwahonga vijana wa ACT huko ni matumizi mabaya ya ruzuku.
Kikao kilichofanyika wiki iliyopita kilichoongozwa na Dr. Slaa kimepanga kuhakikisha chama cha ACT hakipati ushindi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Chadema kimepanga kuwarubuni wagombea wa ACT na kukihujumu kwa kukichafua kwenye vyombo vya habari kwa kutumia kurugenzi ya habari..
Kuwalisha maneno vijana wa ACT ili kuvuruga Chama.
Chadema acheni michezo michafu kuwahonga vijana wa ACT huko ni matumizi mabaya ya ruzuku.
Cdm kuihujumu act ni sawa na mtu mwenye akili timamu kuitandika viboko maiti.
Nisaidieni jamani wangine hatuijui hiyo act au nikampuni ya kuzoa takataka?
ACT = UVCCM tawi la KigomaNisaidieni jamani wangine hatuijui hiyo act au nikampuni ya kuzoa takataka?