Ni muhimu kuelewa jographia ya mipaka ni muhimu sana kuelewa na ndio maana mikoa yote ya Tanzania mipaka yake iko wazi. Kwa mfano kuna Sheria nyingi zinatumika Zanzibar tu hazitumiki Bara sasa hapo ndio nataka kuelewa wapi Zanzibar imeishia na wapi imeanzia ?na huwezi kulijua hili mpaka uelewe mipakaHakuna hiyo mipaka mkuu.wewe ishi tu.
Kwa Ushahidi Gani? Lete Evidence kaka! Nimeuliza kisheria zaidi siyo politicsMipaka ya Zanziba na pemba ni kilomita moja toka Tanga badarini na Darisalama bandarini na Kilwa bandarini. Huko kwingine ni Zenj. Unasemaje? Unataka kwenda kufanya utafiti wa mafuta?? Kwa nini huulizi mipaka ya ziwa Nyasa na Nyasaland??
Chokochoko hatutaki. Nyiye ndo mnasema ati Zanziba siyo nchi!! Kuna siku mtaitambua tu. Hakuna mkoa wenye wimbo wa taifa ni Zenj tu
Sheria ya 1992"Zanzibar ni nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Visiwa vidogo vilivyoizunguka na bahari yake ambayo kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ikiitwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar" Ibara ya Kwanza ya Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984 toleo la 2010 inasema hivi.
Wakati Ibara ya pili inasema : " Zanzibar ni Miongoni mwa Nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" Kwa lengo la kuelew baadhi tu ya Sheria Sheria nawaombeni Masada kuweza kutambua kwa uhalisia hasa mipaka ya Zanzibar na Tanganyika.
Wajuzi naomba msaada. Katiba ya Jamhuri ya Muungano, 1977 inasemaje kuhusu jambo hili? Sheria za Kimataifa Zinasemaje ?
Narudia tena mkuu,wewe ishi tu.Ni muhimu kuelewa jographia ya mipaka ni muhimu sana kuelewa na ndio maana mikoa yote ya Tanzania mipaka yake iko wazi. Kwa mfano kuna Sheria nyingi zinatumika Zanzibar tu hazitumiki Bara sasa hapo ndio nataka kuelewa wapi Zanzibar imeishia na wapi imeanzia ?na huwezi kulijua hili mpaka uelewe mipaka
Mimi mwenyewe nashindwa kuelewa!Sheria ya 1992
Na.4 ib.3
2.-(1) Eneo la Jamhuri ya Muungano ni eneo lote la
Tanzania Bara na eneo lote la Tanzania Zanzibar, na ni
pamoja na sehemu yake ya bahari ambayo Tanzania
inapakana nayo.
(2) Kwa ajili ya utekelezaji bora wa shughuli za Serikali
ya Jamhuri ya Muungano au Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar, Rais aweza kuigawa Jamhuri ya Muungano katika
mikoa, wilaya na maeneo mengineyo, kwa kufuata utaratibu
uliowekwa na sheria au kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na
Bunge:
Isipokuwa kwamba Rais atashauriana kwanza na Rais
wa Zanzibar kabla ya kuigawa Tanzania Zanzibar katika
Mikoa, Wilaya au maeneo mengineyo.
Tangazo la nchi
yenye Mfumo wa
vyama vingi
Sheria ya 1992
Na.4 ib.5
Kuna kitu umenote kuwa katiba
Ya Zanzibar ni batili?.
P
Wewe unadhani ni nini?Zanzibar ni Nchi.!!??????
Zanzibar ni mkoa tu kama lindiMipaka halisi ya Zanzibar ya enzi za Sultani ni visiwa Pemba na Unguja eneo lote la mwambao kuanzia kilwa hadi Tanga yani kifupi Dar yote ni Zanzibar mpaka wa Tanganyika na Zanzibar umepita kibaha
Wewe unadhani ni nini?
Kwa hiyo uingereza, comoro, Mauritius siyo nchi kwa vile ni visiwa?Ni kisiwa