Mipaka ya bara la Afrika

Mipaka ya bara la Afrika

Hukusoma Historia shule ya msingi au sekondari F. 2? Maswali mengine hutakiwi kutuuliza tumia akili inamaana ungekuwa namtoto akikuuliza na wewe unakurupikia JF kuja kuuliza?
Ndugu zangu msaada tafadhali,hivi ni nani aliekata mipaka ya nchi zilizopo ndani ya bara la afrika?
Msaada wenu tafadhalini

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sio malaika kaka halafu usikae ukategemea kuwa kila mtanzania amesoma hata hiyo form 2 unayoizungumzia.kama unalo nijibu nipate kujua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
waliweka wazungu tu kwenye kikao chao, but hakuna mwafrica aliye karibishwa kwenye mkutano huo kutoa maoni yake

Miaka hiyo Africa ilikuwa kama shamba tu lenye vichaka viingi, halina mwenyewe! walikuwa wanawinda watumwa tu, na wanyama, ukanda wa pwani watu walihama kabisa wakiogopa kukamatwa!

Ndo maana unaona Musoma ni mkoa wenye makabila meengi kuliko mikoa mingine, sababu ya ukimbizi.
kaeneo ka Tanzani kalikuwa na watu mia tano tu. tukaongezeka wakati wa uhuru watu million 9 tu, leo zaidi ya 54,000,000

Watu weusi Africa siyo kwetu tumetokea nchi ya Levant Mesopotamia ya kale. mwaka 70AD TUKAPIGWA SANA VITA NA VATICAN, ILI TUFUTIKE na kukomesha dini zetu za halali, wengi waliuawa, wachache tukakimbilia vichakani Africa, tukakwepa Ethiopia, sudan tukaja kusini zaidi,

Baadaye wakagundua hii mijitu myeusi haijaisha bado ipo, wakaona waitenganishe.
 
Back
Top Bottom