Mionzi ya Wi-fi ktk Laptop Computer huharibu Mbegu za Kiume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mionzi ya Wi-fi ktk Laptop Computer huharibu Mbegu za Kiume

Discussion in 'JF Doctor' started by IsangulaKG, Nov 30, 2011.

 1. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Kwenu Mnaopenda kuweka Laptop zenu mapajani wakati mwafanya kazi zenu. Wanasayansi huko Argentina wamegundua kuwa mionzi inayotokana na wireless internet au wi-fi ktk laptop hasa zinapowekwa karibu na eneo la uzazi husababisha madhara katika utengenezaji wa mbegu za kiume.
  Kwa taarifa zaidi soma hapa: Laptops damage sperm? What wi-fi study shows - HealthPop - CBS News
   
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Mmmeshauriwa tayari.............msilalamike oooh hatupati watoto!
   
 3. k

  kihami Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi sana kwa mpango wa uzazi
   
 4. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  je kama unatumia modem
   
Loading...