Miongozo ya matumizi mazuri ya dawa

Miongozo ya matumizi mazuri ya dawa

karv

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2019
Posts
1,801
Reaction score
3,272
~Fuata maagizo kwa uangalifu

~Usibadili kiasi cha dawa bila kumuuliza daktari

~Usiache kutumia dawa ulizoandikiwa bila kuagizwa na daktari

~Usiponde ponde au kuvunja dawa ikiwa hujaambiwa kufanya hivyo.

~Tambua madhara ambayo dawa hizo yanaweza kukuletea unapoendesha gari au unapofanya utendaji mwingine.

~Chunguza madhara ya kuchanganya dawa iyo na pombe(kunywa) au dawa nyingine iwe umeandikiwa na daktari au umenunua bila maagizo ya daktari.

~Ikiwa umewahi kutumia dawa vibaya au vitu vingine vinavyolewesha mweleze daktari.

~Usitumie dawa alizoandikiwa mtu mwingine na usiwape watu wengine dawa ulizoandikiwa.
 
Back
Top Bottom