Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,877
- 31,632
Si kila binadamu atapata bahati ya kumuona Mwenyezi Mungu.
Watakaobahatika kumuona Mwenyezi Mungu ni wale tu waliokidhi vigezo na kufuzu mitihani waliyopewa hapa duniani kubwa zaidi kukamilisha kile walicholetewa duniani ambacho ni kuabudu.
Hii ni kitu special sana, tukija hata kwenye maisha ya kawaida hapa duniani , kila mtu anayule mtu ambaye anatamani kuonana naye ana kwa ana, mfano wapo wenye hamu ya kuwaona mastaa wakubwa ulimwenguni ,iwe ni mastaa wa mipira, miziki, sanaa nk.
Wengine wanalipia pesa ndefu kwenda tu kuwaona hao binadamu wenzao ambao ni mastaa.
Sasa kama hao binadamu ipo hivyo, sasa je kupata bahati ya kuonana na mitume , malaika wa Mwenyezi Mungu je itakuaje?
Je, vipi kuhusu yeye aliyeumba mbingu na ardhi na kuweka vilivyomo itakuwaje ukipata bahati ya kuonana naye?