Mino Raiola, wakala hatari msimu huu

Kibundi wa getto

JF-Expert Member
Sep 28, 2013
455
877
Rekodi inaenda kuandikwa kwa kinda Paul Pogba kuvunja rekodi ya usajili duniani.
Miezi miwili nyuma nani alieamini ili jambo linawezekana?. Pogba ndoto zake ilikua kucheza Real Madrid, lakini kwa jinsi hali ilivyo ilo jambo haliwezekani kwa msimu huu labda mbeleni. Pogba aliapa hatarudi tena Man utd, kwa sababu alihisi timu ilikua haioni umuhimu wake. Nini kimetokea?
UCHIZI WA MOURINHO +UJANJA WA RAIOLA +PRESHA YA WADHAMINI MAN UTD.
kwa sasa man utd inajitaidi kufanya kila linalowezekana ili kuendelea kuvutia wadhamini.Sababu toka aondoke Ferguson, man utd imepungua makali yake pamoja na kutokua na uhakika wa kushiliki UEFA.
KINACHOTOKEA SASA
man utd wanafanya uchizi kwenye usajili mpaka Perez mwenyewe kajitenga pembeni kuhusu Pogba. Pogba ni mchezaji mzuri lakini angeweza kupatikana kwa bei poa Kati ya £60m mpaka £70m lakini ujanja wa MINO RAIOLA, Pogba anaenda kuwa mchezaji ghali zaid
duniani.
 
Zitabaki kuwa tetesi . Sioni dalili yoyote ya Pogba kwenda man United
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom