Ministry ya Foreign Affairs na Biashara Ya Majengo USA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ministry ya Foreign Affairs na Biashara Ya Majengo USA.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtzii, Aug 7, 2012.

 1. M

  Mtzii New Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je,ni sahihi kwa serikali kupitia wizara foreign affair kufanya biashara ya kupangisha majengo USA as Mh. Membe alivyolielezea bunge?Kweli hap co utakuwa muuingiliano na sector binafsi especialy wajaria-mali wa tz?naomba mawazo yenu
   
 2. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  pitia vizuri speech ya mh. utamuelewa alisema kuna ulazimu wa serikali kujenga majengo ya ubalozi kwa ajili ya kuondoa adha ya kupanga..vilevile akadai serikali inatakiwa kununua au kujenga majengo ya balozi zake hii itawezesha kupangisha na kuingizia serikali mapato..au serikali itumie makampuni ya ujenzi ya kimarekani yajenge hayo majengo na wayatumie kwa shughuli na mda ukiisha yanakuwa ya kwetu...aliongea mengi ila hayo ni kwa ufupi
   
 3. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Tatizo letu ni kuwa baadhi yetu tuna njia moja tu ya kufikiri, Membe alichoongea kilipaswa kufanyika miaka 10 iliyopita,labda sasa tungekuwa tumeanza kuvuna.
   
Loading...