Mkuu, hawa jamaa ndio zao. Hivi kwa nini hawakubali uwakilishi wa TPDC? Wanataka wafanye ya kwao binafsi. Mwenye uwezo wa kushiriki na ashiriki hakuna aliyewazuia. Tatizo wanataka upendeleo maalum ili baadae walangue hivyo vitalu.
Wakati wa kubinafsisha Kilimanjaro Hotel Mengi alipiga sana kelele. Akapewa eneo zuri katikati ya mji ajenge hiyo hotel akaishia kuuza tena kwa hao anaowaita mapapa wa rushwa.
Anamiliki vitalu vingi vya madini kupitia kampuni zake kadhaa na hakuna maendeleo yoyote zaidi ya kulangua vitalu hivyo.
Sospeter Muhongo ni msomi na mwadilifu na lazima aonekana ana kiburi mbele ya wapenda dezo kama Mengi.
Tunataka gesi na mafuta vinufaishe watanzania wote sio wachache waliopendelewa. Wakisha shiba hizo hela ndio yale makombo wanakuja kulisha walemavu pale Diamond Jubilee.
Mkuu,,,kuna Rasilimali.gani iliyomnufaisha mtanzania wakawaida km si viongozi peke yao
Kwa utumbo huu hata buku 2 walahi leo hupati!Niseme tu kua siungi mkono wizi wa mali za umma wala matumizi mabaya ya ofisi.
Nachokisema ni kwamba Muhongo ni moja ya mawaziri makini na bora kabisa Tanzania imebahatika kua nao.
Uwe unampenda au humpendi,tukiacha siasa za kinafiki za kitanzania Muhongo is the best maana mambo mengine hayo ni siasa.
Muhongo ni waziri asie mnafiki,he calls a spade a spade,kama uwezo wako ni wa kuuza juisi anakwambia,hakuna unafiki.
Tuliozoea siasa za kimagumashi na kinafiki za kitanzania tutamuona mhongo mbaya na kumtungia mambo. Ni waziri pekee alieweza kuimudu wizara ya nishati na madini.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,tujifunze kukubali ukweli hata kama hatuupendi.
Niseme tu kua siungi mkono wizi wa mali za umma wala matumizi mabaya ya ofisi.