Minipajero for sale

Minipajero for sale

doxtgblaze

Senior Member
Joined
Feb 2, 2010
Posts
115
Reaction score
5
Ninauza mini pajero ipo kwenye hali nzuri..
Haina tatizo lolote
lengo la kuuza nataka kununua gari nyingine ya familia
bei milioni saba.... 7milion
maelewano yapo
sumu 0657088003 tafadhali usibeep hii ni kwa watu walio sereous tu
karibuni
 

Attachments

  • god.jpg
    god.jpg
    56.8 KB · Views: 141
inafaa kwa ajili ya barabara za mashambani? mwisho kabisa inashuka hadi ngapi? ulaji wa mafuta upoje?
 
Back
Top Bottom