Aende Kongo fursa zipoWakuu ndugu yangu anatafta kazi za madini(migodini).Ni geologist mwenye degree ana uzoefu wa mwaka mmoja.Ufaulu wake GPA 4.1 ni kijana anaependa kujituma ktk kufanya kazi .Naomba wakuu msaada wenu au kama kuna yeyote anaweza muunganisha yuko tiari kufanya kazi ndani na nje ya nchi endapo atasaidiwa.Yeyote mwenye mapenzi mema ani inbox asante.
majority ya watu wenye GPA hizo huwaza siku zote kuwa ni bora zaidi na hivyo kutozingatia kuwa wanapaswa kujifunza kazi mpya wanazopewa na mwisho wa siku wanashindwa kudeliver!! Kwenye ulimwengu wa leo,your deliverance matters,GPA zinafundisha vyuoniiiiiiii
Asante nashukuru mkuu ila najua humu duniani kuna watu wenye roho zenye kutu ndani nahao huwavunja moyo wengine.Pia wapo wenye roho safi wenye moyo wa kumsaidia mtu,hivyo najua atapata tu hayo maneno yako tu mkuuMwambie ajiajiri tu hata kwa kufyatua tofali za kuchoma poa tu, alafu hiyo GPA kwanini asiwe TA hata Amazon au ZION college!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Barikiwa sana mkuu, najua kuna watu wenye moyo wa kumsaidia mtu hata kiushauri km huu.asante sanaKijana ni nani alie kuloga ? toka nenda mapolini gemstone zimejaa tele wewe ni mtaalamu anza hata na quarts ukichambua vizuri arusha kilo moja ni elfu 60 imagine ukijikita ukapata kilo mia una milion zako zaidi ya 6 ,sasa unaujuzi wote huo unataka uajiliwe ,acha hiyo tafuta ndugu au jamaa akuazime milion 1 tuu jieendee sehemu za wachimbaji wadogo nunua kidogo peleka arusha mbona hujitendei haki
Ningekuwa nimeona post yako wala nisingekomenti. Umepita mulemuleBarikiwa sana mkuu, najua kuna watu wenye moyo wa kumsaidia mtu hata kiushauri km huu.asante sana
Check your Inbox chief! and act promptly!Wakuu ndugu yangu anatafta kazi za madini(migodini).Ni geologist mwenye degree ana uzoefu wa mwaka mmoja.Ufaulu wake GPA 4.1 ni kijana anaependa kujituma ktk kufanya kazi .Naomba wakuu msaada wenu au kama kuna yeyote anaweza muunganisha yuko tiari kufanya kazi ndani na nje ya nchi endapo atasaidiwa.Yeyote mwenye mapenzi mema ani inbox asante.