sawa kaka, mi sina mpango wa kuajiliwa muda mrefu, nimepangaa kuajiliwa kwa 2years mwisho, nakuwa mfanyabiashara tu, kwa muda niliokaa mtaani kwa upande wa civil, niliyonayo kichwani yanatosha sanaa kwa maisha ya sasa, sioni umhimu wa kuyajua mambo makubwa sanaa, kwasababu unaweza kosa hata sehemu ya kuyatumiaa, kwenye civil nilichobakiza ni kupata hela na kuwekeza kwenye majengo ya shuguri mbalimbali so pindi majengo nitakapomaliza kuyajengaa nazani hata civil sitoitumia tenaa kwa personal benifits, sasa nakosa sababu ya kusoma mavitu makubwa halafu siji kuyatumiaa labda kidogo badala ya civil nisome archtecture, hapa nachanganya uzoefu wangu wa civil, na kubuni vimajengo
yaani kweli umebobea ujenzi wa reli kweli utafnya kazi wapi????? hizi miradi mikubwa zisikie tu kupata mtingoo ni ngumu sanaa.
kwa upande wa madini naona angalau kidogo naweza itumia taaluma kwa vitendo, nikiwa na eneo langu, tipa zangu, nikajenga kituo kama cha stamico cha kuchenjuaa, nikawa na mwalo wangu, makarasha yangu kama 4, nikajenga ofisi, nikiwa na kipimo kikubwaa cha kupima madini, nikawa na leseni ya kununu madini au kumiliki madini, mungu anipe nini sasa??, hata nikisema nimepata kazi kwenye mgodi life la mule la mhandisi migodi huwezi kulinganishaa na civil engnineer, maana hata huku mtaani nimewaona sanaa maisha yao,