wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,420
- 3,081
Mchina.Pata mashine ndogo za kufulia, zinatumia umeme mdogo sana na kufua kwa ufasaha. Kuna za kilo 5 unazoweza kufua mpaka nguo 5 na kilo 7 ambazo unafua mpaka nguo 10 na zaidi. Tunapatikana Kigamboni na Kijichi lakini pia delivery tunafanya.
Mashine za kilo 5 ni 170,000Tshs
Mashine za kilo 7 ni 370,000Tshs
Mawasiliano ni 0673958899 Call & Whatsapp. View attachment 2024884View attachment 2024885View attachment 2024886View attachment 2024887
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hapana kaka znakamua na kukausha kiasi.Hizi zina kausha kabisa?
Karibu boss wangu tukuhudumie. 0673958899 call & Whatsapp.Hii mashine inabidi niichukue,
za kilo 13 hamna?
Ukiwa wazipenda lazima tu utakuwa mwangalifuHivi ukishakuwa na nguo nyingi utakumbuka hizo mambo? Ni ngumu kiasi...
Hapana sina kakaMkuu, una sufuria zile multipurpose (cooker & saver)..?
Sawa kaka nalifanyia kazi hiloSawa Sawa
Nakushauri Upload Pictures Za Vitu Na Bei Yake Utapata Mwitikio Mkubwa Mno
Weka Mambo Sawa