Mini supermarket inauzwa bei poa

Mini supermarket inauzwa bei poa

DESMOND DAVID

Member
Joined
Jan 31, 2011
Posts
79
Reaction score
7
Ipo dar kigamboni eneo la kibada mtaa wa kiembe poa,ni jirani na barabarani
Kuna mpaka maxmalipo na mashine ya tra .pembeni kuna kibanda cha tigo na mpesa nacho kinauzwa pamoja na line zake
kwa anaye itaji karibu tuongee biashara
Namba zangu 0716797416
IMG-20140717-WA0003.jpg IMG-20140717-WA0007.jpg IMG-20140717-WA0001.jpg
 
Muuzaji pia naye anauzwa pia? wauza na nyumba pia or umerent tu?
 
Ahahahah sasa kama umepanga sema unauza bidhaa zilizo ndani ya supermarket sio unauza supermarkert...
 
Bei gani

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom