mini solar power

mini solar power

eng mungi

New Member
Joined
Aug 6, 2013
Posts
3
Reaction score
0
solar power ndogo zenye nyaya ndefu na bulb zake mbili zina uwezo wa kukaa na chaji kwa muda wa masaa kumi na mbili kwa mawasiliano 0654 996561 ,ramsef550@gmail.com
 
Why are you thinking "mini" instead of "large"?

Or do you think there is no market for a large scale solar power scheme?

The market is ready and wide open, but you are thinking Tanzanians wont afford it. Dare to dream and go for it. THINK BIG! You will succeed.

Otherwise stop calling yourself an "engineer"!
 
MwanaHaki unakosea sana ndugu, kua positive acha zako, eng sio cheo hiyo ni shule kaka. Takwimu zinaonyesha M-TZ kipato chake ni dola moja ya USA sasa hayo masola makubwa ni ya nini?utamuuzia nani? Kutokujua kwako biashara isiwe sababu ya kumfanya Eng. Asifanye mamboozz. Mwache atengeneze ndogo auze nyingi kwa watu wengi na si kubwa kwa watu wachache.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
mangoro

Labda kwa kuwa sikufafanua vizuri nilichomaanisha kuhusu large scale solar power systems. Ngoja napita nitarudi.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom