Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
Jaman wapendwa natafuta mini laptop ya 150,000/=. mwenye nayo au kama kuna mtu mwenye taarifa ya zinakopatikana kwa bei hiyo anijuze. itapendeza kama itapatikana kwa dar au dodoma,

nakuchek mda si mrefuKuna Fujitsu na ipo vizuri kama upo tayari nitafute hapa: 0717577755. Ila housing yake haina imechubuka kiasi.