mini android tablet inauzwa kwa tsh.80,000/=

mini android tablet inauzwa kwa tsh.80,000/=

NAPSTAR

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
767
Reaction score
12
pata mini android tablet ina 2gb internal ,ina play audio na video,ina wifi,camera na camcoder kwa anayeitaka ani pm price ni buku 80 tu
 
Mkuu embu fafanua zaidi, maana kwa hiyo bei ni ndogo sana, sasa eleza kwa kina kama:
-Mbovu kiasi gani?
-Ni mchina wa wapi?
-Umeikwapua wapi?
-Kwa nini unaiuza sasa tena kwa bei hiyo ya chini sana?
 
mhh hapo lazima tuwe macho mazee,tablet inauzwa bei ya mandazi,hiyo si inaweza kukulipukia muda wowote!!
 
mhh hapo lazima tuwe macho mazee,tablet inauzwa bei ya mandazi,hiyo si inaweza kukulipukia muda wowote!!

zipo za bei rahisi..tusikariri ... Si unaona hata specs zake ni zakawaida.. Mfano zile za huawei mid tablet...
 
AINA GANI/BRAND NAME?
*screen size inches ngapi?
*inaingiza line?

haingizi line, screen size ni inch saba ndogo, manufacturer wake cmjui but mi nililetewa kutoka Romania
 
ikifika trh 28 bado hujaiuza ntakuja kuibeba
 
pata mini android tablet ina 2gb internal ,ina play audio na video,ina wifi,camera na camcoder kwa anayeitaka ani pm price ni buku 80 tu

NmekuPM

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom