Mineral Consultant Services

Mineral Consultant Services

Joined
Oct 12, 2014
Posts
78
Reaction score
48
Habari,

Tumeanzisha kampuni ya Mineral Consultant itakayokua inajihusisha na processing of minerals na extraction of metals from their ores. Tunajihusisha zaidi na Gold, Copper, Silver, Nickel na Coal. Mfano Ore yako ina dhahabu na copper na nia yako kubwa ni kupata dhahabu tu, then tutakuongoza katika njia sahihi ili uweze kupata dhahabu. Pia kama unapata poor recovery katika Plant/Mgodi then tutakushauri ni jinsi gani ya kuongeza recovery na kukushauri kuhusiana na Kemikali sahihi za kutumia katika mgodi wako.

Tunatoa pia huduma za Training katika migodi mbalimbali kuhusiana na mambo ya Mining, Mineral Processing na mengineyo

Gharama zetu ni nafuu sana na kampuni ina Engineers waliokaa katika sekta ya Mining, Mineral Processing na Extractive Metallurgy kwa zaidi ya miaka 5.

Ofisi zetu zipo maeneo ya Ununio mwisho karibu na Chuo cha Islamic

Karibuni

Mawasiliano 0626 911 506
 
Mkuu mna link yoyote ya kupata plants za kufanyia extractions kama excavators, dumpers?
 
Ongereni kwa kuonyesha njia katika kujiajiri, hakika mtafanikiwa
 
Karibuni ndugu zangu kama mna tatizo katika migodi yenu na mnahitaji msaada wa ushauri na huduma nyingine
 
Habari,

Tumeanzisha kampuni ya Mineral Consultant itakayokua inajihusisha na processing of minerals na extraction of metals from their ores. Tunajihusisha zaidi na Gold, Copper, Silver, Nickel na Coal. Mfano Ore yako ina dhahabu na copper na nia yako kubwa ni kupata dhahabu tu, then tutakuongoza katika njia sahihi ili uweze kupata dhahabu. Pia kama unapata poor recovery katika Plant/Mgodi then tutakushauri ni jinsi gani ya kuongeza recovery na kukushauri kuhusiana na Kemikali sahihi za kutumia katika mgodi wako.

Tunatoa pia huduma za Training katika migodi mbalimbali kuhusiana na mambo ya Mining, Mineral Processing na mengineyo

Gharama zetu ni nafuu sana na kampuni ina Engineers waliokaa katika sekta ya Mining, Mineral Processing na Extractive Metallurgy kwa zaidi ya miaka 5.

Ofisi zetu zipo maeneo ya Ununio mwisho karibu na Chuo cha Islamic

Karibuni

Mawasiliano 0626 911 506
Hongera Collins
Sasa straight to the topic
Jee, unahusika na vitalu vyenye daimonds?
 
Ahsante Zamiluni,

Hatuna kitalu chochote chenye diamond ila we can help you katika mining na processing ya diamond mpaka unapata your product.

Likewise, kama unataka kununua madini yoyote kama dhahabu na silver then tunaweza kutoa huduma ya kukusaidia kununua kitu halisi na sio fake
 
Asante kwa kazi nzuri mimi nina leseni za gypsum ninaitaji watu wa kushilikiana tuchimbe wote mnaweza kunisaidia pia ninazo za coal
 
Ok nashukuru sana kwa maelezo...siajaabu wala sii mbali sana karibu nitawasiliana nawe ktk
maudhui na shughuli hizi kwa faida ya wote (mitual understandings)
Ahsante....
 
Asante kwa kazi nzuri mimi nina leseni za gypsum ninaitaji watu wa kushilikiana tuchimbe wote mnaweza kunisaidia pia ninazo za coal

Nashukuru sana kunipa moyo na nitashukuru pia kama ukinipatia information (Location, quantity, quality) kuhusiana na hivo vitalu vyenye Gypsum na Coal.

Ahsante
 
Sawa nitumie email yako gypsum ziko kilwa makanganga na coal ziko songea ruanda na njombe ludewa chuma ziko handeni tanga
 
Back
Top Bottom