Miner spends Sh287m on bank building | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miner spends Sh287m on bank building

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Invisible, Nov 27, 2008.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Nov 27, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  By Felix Mwera, Kahama
  Source: The Citizen
   
 2. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #2
  Nov 27, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Hii dili panga pangua, wabongo tunaliwa hapa.Hio kauli ya "We are still recovering $750 million that has been invested here but we are paying all taxes to the Government of Tanzania in many ways except corporate tax," Mr Walker was recently quoted as saying....inalenga kwenye ufisadi tu.
   
 3. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #3
  Nov 27, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Mkuu,

  Ndo maana nilii-highlight maana wawekezaji wetu imekuwa kawaida kutoa kauli kama hizi...
   
 4. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #4
  Nov 27, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Invii,

  Nilicheka kidogo maana haingii akilini mtu anaposema kua they are recovering $750 Million while paying taxes to the Govt.Then again in the same sentence anasema they are not paying corporate tax...?????

  Somebody's palms are being greased very heavily.Hii itakua skendo siku za usoni in the same light kama hizi nyengine.

  750 million za mnyamwezi ni hela nyingi sana and I'm wondering wabongo tuliingia vipi katika hio debt in the first place..for them to use the words we are recovering......

  Jamani mtu anielimisha hapa..Zitto yuko wapi?
   
 5. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Recovering ni kwamba kabla hujafungua mgodi kwa kuwa ni pesa mingi sana.Wanachukua kwenye ma benk makubwa uko western ndio anazo zungumzia huyu bwana.Ingawa kuna usanii kwingine lakini as far as i know that is the fact.
   
 6. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #6
  Nov 27, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Buswelu,

  Heshima natanguliza.

  Hio ishu unayosema, Zitto alipotutembelea nilimuuliza na alijibu kama usemavyo weye lakini haikukaa sawa akilini mwa raia.Swali likawa, mbona waingia garama zao huko Uropa (or wherever in the western world), kisha waje kwetu kututumia kama kigezo cha kutatulia madeni yao....
  WE ARE FINANCING SOMEBODY"S DEBT.

  Bottom line ni kwamba the way mining business is done in Tz na East Africa as a whole, lives a lot to be desired.Hio mikataba au kanuni walizoandika wao, obviously hazikulenga kumbenefit mwenye nchi and something needs to be done.Basically they need to be re-written.

  Naomba kuwasilisha.
   
 7. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Heshima mbele...kama tuko inviroment moja.

  Ni kweli usemavyo ni kwamba tulikataa kuelewa lakini ukweli ndio huo...I wish bank za tanzania,africa zingeweza kuwa zinatoa mikopo mikubwa namna hiyo katika mining industry ya africa...but najua pengine uwezo hawana...na stock exchange za africa..hazina watu wenye pesa namna hiyo.

  Kwa mfano unapo nunua mgodi,Jenga...Kama vile Placer Dome Inc. or Gold ilivyo uza mgodi wa North Mara(nyamongo)Barrick walinunua na madeni yote ya gharama za uwekezaji ambazo ndio wanasema ($750.000 Bully)Sina data za North Mara Kamili.

  So wanaendelea kulipa mpaka watakapo maliza ndio wanasema tunapata faida.Ndio kawaida...ndio maana wakati wana sign mikataba ukiangalia kwenye internet utashangaa labda kama buzwagiw wakati ule,kuwa price ya Gold was almost $1000.

  Lakini sisi tuka sign kwa $300 if am not sure...hii ni kwa sababu wana cover na gharama zao za uwekezaji.Kisha kinacho baki,ili kukatwa kodi,mrahaba ndio kinaandikwa kwenye mkataba...sio kuandika $1000 harafu serikari inakata kodi kwa bei hiyo kumbe huwa inashuka kama sasa wakati wa vuguvugu la GFC.Iko kwenye $700.

  Na achana sasa kwenye exploration ambapo punguza ya kweli imepita na company nyingine kufungwa kabisa.Utakuwa na habari hii kwa sasa.

  Nawakilisha.
   
 8. M

  Mama JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Zitto tena? kasome ripoti ya kamati ya madini.
   
Loading...