Mindset kabla ya kujifunza Tehama ya programming

Mindset kabla ya kujifunza Tehama ya programming

jikuTech

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2023
Posts
228
Reaction score
291
Watu wengi huchukizwa na ratiba za kushtukiza, hutaka kuandaliwa ili wajiandae kuhusu tukio lenyewe.(Mindset)

Nafikili na wewe ni miongoni hupendi mtu akuambie latiba ambayo haukuwa nayo kabla, Ghafla tu.

TEHAMA ya programming unaweza kujifunza kwa njia nyingi ila labda mbili hizi maarufu nizitaje hapa. Kwenye mfumo Rasmi wa Serikali au Mtaani (Jiku Tech Tips au Bongoclass) kote unabobea vizuri ila tofauti yake.

Mtaani unakuwa na ujuzi wa ziada na strong commitment unaweza kujiajili na kujiwekeza mwenyewe kama ilivyo mmiliki Facebook...


Serikalini kuna uwezekano siku Moja ukapata ajila ya kudumu ukawa unapata mshahara.

Wengine huuliza swali ambalo majibu yake sio ya Ghafla kuelewa eti nikijifunza Tehama napataje pesa , ili uelewe majibu ya swali hili sio Ghafla kama ratiba za Ghafla ambazo ni wengi hukubali kuto kuzipenda na kuhitaji kuandaliwa ili wajiandae kuhusu tukio lenyewe.

Jiku Tech Tips ukiachana na kukusaidia kujua TEHAMA ya programming, kabla ya yote huwekeza nguvu kubwa katika kumjengea mtu mindset (mtazamo)wa faida kuelekea kupata maarifa na manufaa mengi kwenye Tehama Hasa hapa Tanzania ambapo uwekezaji katika TEHAMA ya programming ni mchanga Sana.

Ikiwa tayari una mindset hapa Tanzania nakushauli ujifunze kwenye vyanzo makini vya maarifa haya kama Jiku Tech Tips au bongoclass.com

Ikiwa unataka kuelewa kuhusu Tehama ya programming kabla hauja Anza kujifunza au pengine kupoteza muda wako, yaani kupata mindset ya taaluma hii. Nakushauli kwa hapa Tanzania tembelea
Jiku Tech Tips hapo register/ jisajili, kisha login kwenye menu kushoto utaona kipengele choose class bonyeza hapo kisha chagua utangulizi, pitia Makala zote hapo ili kupata uelewa wa Jumla au kabla hauja jisajili juu kuna voice za masomo hayo.

Kama unaona tamani kujifunza TEHAMA seriously na hautaki kufuata ushauli wa wataalamu endelea kuzunguka na Artificial intelligence (AI) na kwineko ukimaliza kuhangaika bila mafanikio Bado tunakukalibisha.

Ila chonde chonde usije kufanya uchaguzi ambao sio sahihi kabla ya kupata ushauli kwa mtaalam ili usipoteze muda na vitu vya ovyo ovyo.


Screenshot_20250910-082711.png
 
Vipi kwa mtu mwenye malengo ya kutengeneza App au Games ni course gani inafaa na uchaguzi upi huko JIKU TECH TIPS
Nikufanya mawasiliano, Utajifunza kitu kulingana na current experience kwenye Tehama,,, yaani utapata ugumu kujifunza jambo B kabla ya Akujifunza
 
Back
Top Bottom