Hapa ni Chuo cha Ustawi
Unawatetea bure tu mshikaj wangu Mwana Mtoka Pabaya. Kama ni nafasi ndogo, basi angetumia maandishi madogo ili herufi zote zienee!Spelling mistakes za namna hii zimejaa. Kwenye mabasi kile kiboks cha huduma ya kwanza kinaandikwaga: FIST AID. Maduka ya vitabu nabahasha na kalamu wanaandika:STATIONARY. Yaani inakera mno aisee!Niliandika vile kwa sababu nafasi ni ndogo isingetosha kuongeza herufi nyingine jamani mbona mi majilugha nayamanya tu
Mkuu kwani chuo hakihakiki kazi za wazabuni? hakioni kosa hilo? hata mwalimu akifundisha vice versa wataacha kwa kuwa ni kosa la mwalimu na sio chuo? chuo ni nini?...Taasisi ni pamoja na walimu ,wanafunzi na wanataaluma wengineMkiangalia vizuri huyo ni mtu binafsi "tenderer" aliyeomba kutoa huduma hapo na si Uongozi wa chuo. Mbona matangazo ya Chuo chenyewe yapo kwa mbele barabara ya shekilango sahihi kabisa bhana.
Kosa la mtu binafsi tusiamishie kwa Chu kizima.
Huwa nakereka sana na uandishi mbovu, afu hapo ndo watu waende kufundishwa!?? my foot..
Actually your seems to be a "prescriptivist" , better u proceed to act accordingly . by being a "moving encyclopedia" u will succeed to help many of us.Hapa ni Chuo cha UstawiView attachment 97475
Individually it is true. But when it comes into public kama hii ni vema ikarekebishwawe all make mistakes as no one is perfect
Actually your seems to be a "prescriptivist" , better u proceed to act accordingly . by being a "moving encyclopedia" u will succeed to help many of us.
Mkuu unazungumzia utolewaji bora wa taaluma, na hiyo ndiyo kazi ya uongozi wa chuo,kuhusu ubovu au uduni wa huduma za kuprint na photocopy hata wananchi wa nje ambao hawasomi kando kando ya hongera bar nao hutumia huduma hizo za stationery kama ni bora hata kama atakuwa amekosea kuandika bango bado wateja wataendelea kumiminika na kama ikitokea huduma ni mbovu hata kama bango litakuwa sahihi kwa kiwango cha juu bado wateja watakimbia tu.Mkuu kwani chuo hakihakiki kazi za wazabuni? hakioni kosa hilo? hata mwalimu akifundisha vice versa wataacha kwa kuwa ni kosa la mwalimu na sio chuo? chuo ni nini?...Taasisi ni pamoja na walimu ,wanafunzi na wanataaluma wengine
Kazi za wazabuni kama hizo ni biashara binafsi inayofanywa ndani ya majengo ya chuo,kinachofanyika hapo ni kuona kama huduma zina tolewa kulingana na mkataba lakini sio kuhakiki mpaka huduma ya photocopy na barua anazoandikia na kuwaprintia wateja wake, nyinyi wateja ndiyo wa kumkosoa lakini sio kulaumu uongozi wa chuo kama huduma mbovu akikosa wateja atajirekebisha.Mkuu kwani chuo hakihakiki kazi za wazabuni? hakioni kosa hilo? hata mwalimu akifundisha vice versa wataacha kwa kuwa ni kosa la mwalimu na sio chuo? chuo ni nini?...Taasisi ni pamoja na walimu ,wanafunzi na wanataaluma wengine