Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,652
- 5,133
najua hivi vitu vinaendana kabisa unapofikiria na kuamua kile uchokichagua huenda kukaa kwenye jumba la ufahamu hivyo ufahamu ni kitu kilichopita[experiences] ila akili inaishi katika now,present and future whetever you choose ni akili ila yenyewe inachota maamuzi kutoka kwenye fahamu.
binadamu hawezi kuwa huru,hawezi kujifahamu yeye nani na akijifahamu atazidi kutaka kujua yeye nani mwisho atakuwa mchawi tu ndiyo maana tumewekwa kwenye mafungamano ya imani ili kudhibiti hali ya ubinadamu.

️