Minara ya simu

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,492
7,506
mitaani kuna minara mingi ya simu lakini sijawahi kuona ya kampuni kama zantel na mengine mapya kama sasatel.hivi hawa wanafanyaje kusambaza mawasiliano yao?
 
Huwa wana-share na minara ya makampuni mengine ambayo ina-exist.
Wengine wanafanya kama vile huduma ya roaming. Mfano wewe uko tigo ukienda Uganda unawezakuwasiliana na mimi tigo japokua kule Uganda Tigo hawana minara yao. Ki2 kama hiki waliki2mia sana hawa Zantel walipoanzakuingia bara, na walifanya dili hilo na VODACOM.
 
mitaani kuna minara mingi ya simu lakini sijawahi kuona ya kampuni kama zantel na mengine mapya kama sasatel.hivi hawa wanafanyaje kusambaza mawasiliano yao?

Nilipokua Tz niiacha kampuni ya simu inaitwa celtel na ilikua na minara yake na niliambiwa kwamba ndo inayoitwa zantel sikuhizi.....kama ndo kweli i think watakua wanatumia minara hiyo......then ninavyofahamu wanawezakushare minara na kampuni zingine au kutumia roaming service.....
 
Celtel - Zain
 
Back
Top Bottom