Aloysius Member Joined Mar 1, 2011 Posts 80 Reaction score 9 Aug 4, 2011 #1 "Minajili". wengi usema kwa minajili (MAKOSA)X "Min" KWa kiarabu ni "Kwa" hivo basi unavosema 'kwa minajili' ni kama unasema 'kwa kwajili". Sema mfano: Nitakuja minajili hiyo. Nasio kama msemavo; Nitakuja kwa minajili hiyo. Wewe unsemaje?
"Minajili". wengi usema kwa minajili (MAKOSA)X "Min" KWa kiarabu ni "Kwa" hivo basi unavosema 'kwa minajili' ni kama unasema 'kwa kwajili". Sema mfano: Nitakuja minajili hiyo. Nasio kama msemavo; Nitakuja kwa minajili hiyo. Wewe unsemaje?
K klf Member Joined Jun 12, 2009 Posts 58 Reaction score 11 Oct 16, 2011 #2 Maana yake "minajili" kama inavyoelezwa kamusini ndio "kwa sababu ya", "kwa madhumuni ya". "kwa ajili ya"
Maana yake "minajili" kama inavyoelezwa kamusini ndio "kwa sababu ya", "kwa madhumuni ya". "kwa ajili ya"