Min laptop imegoma kuwaka

Min laptop imegoma kuwaka

mambali

Senior Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
170
Reaction score
64
Msaada wakuu nashindwa kuelewa kipi kimeikumba hii laptop ukiiwasha inawasha taa ya kijani lakini cha kushangaza display haionyeshi kitu chochote jamani naombeni msaada wenu nifanyaje??
 
wataalamu wa jukwaa hili vipi mbona kimya
 
Back
Top Bottom