NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 1,001
Mada yako peleka jukwaa la chumbani hapa ni sebuleni kuna wageni hawataki kusikia mambo ya ajabu ajabu!Njoooni na vituko vya ma girlfriend zenu mliowaacha ,je ni kituko gani ulikutana nacho kwa huyo bwana????mimi wangu mmoja nilimwacha alikuwa akila chakula mpka kinadondoka kutoka mdomon yaani unaweza kusema mdomoni kuna mashine ya kukoboa,,,akila lazima aongee mpka wewe wa pemben chakula kinakurukia,nani anataka aibu akuuuuuu,,,kwani kumuacha shilling ngapi nilimwacha hivi hivi!!!
una miaka 17 eehNiliye nae ndo first hopefully atakua last pia....[emoji7][emoji7]
22 mtu mzima mieuna miaka 17 eeh
Yiiiii nlikua nakutegea mingo eti..!!!Niliye nae ndo first hopefully atakua last pia....[emoji7][emoji7]
Hehe umechelewa mkuuYiiiii nlikua nakutegea mingo eti..!!!
Wow safi sana ,itakuwa alikukuta bikiraNiliye nae ndo first hopefully atakua last pia....[emoji7][emoji7]
Its never too late, na huwezi jua what's ure destiny....Ila at 22, ngoja usogee sogee kwanza hadi 25 iviii.....Hehe umechelewa mkuu
Daah,wewe jamaa Walah utakua Malaya msomi. Umeongea point moja ya maana sana aisee. Wataalamu huwa hatuachi ila tunawapaga distance tu ili cku umekaukiwa unarudisha mpira kwa kipaSijawahi kuacha, utafukiaje kisima kisa kimekauka maji? Siku mojamoja vinasaidia kujificha...
Its never too late, na huwezi jua what's ure destiny....Ila at 22, ngoja usogee sogee kwanza hadi 25 iviii.....
bado sana wewe hujakomaa mkuu22 mtu mzima mie
Watoto hawajui shida za ukubwani, ndo maana wanaishia kukimbiana tu. Ukienda kistaarabu hamuumizaniDaah,wewe jamaa Walah utakua Malaya msomi. Umeongea point moja ya maana sana aisee. Wataalamu huwa hatuachi ila tunawapaga distance tu ili cku umekaukiwa unarudisha mpira kwa kipa