CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Poleni kwa mihangaiko ya siku ya leo wana CC...
Mwenzenu marafiki zangu sijui waliambizana???
Yaan marafiki zangu wapatao saba (7) ni wajawazito, ngoja niwataje kihivi...
1. Da' KJ
2. Da' FR
3. Da' NR
4. Da' NK
5. Da' KC
6. Da' BM
7. Da' RA
Mimi peke yangu nimebaki, mimi
tu, kukuleteeni habari!!!!
Pole mwaya. Unataka ujauzito?
charminglady na wewe una ki zygot
Asante, ndiyo!
Ntakuja kukupatia. Usijali
Ntakuja kukupatia. Usijali
me sijailewa post yako Jr
Unataka.....?
Wanaume wenye mbegu zenye vichwa vinavyogonga yai na kulirutubisha mnahitajika huku................
Nataka saaana shost... yan nawaonea wivuuuu aiseee!!!!
Unataka.....?
Wanaume wenye mbegu zenye vichwa vinavyogonga yai na kulirutubisha mnahitajika huku................
Hahahahahahahahha
my bosss don tell me hata likizo imekuwa siyo likizo......................
Mmmmmmmmh ..............................
Meku una hisa apo hebu nambie asap kabla sijado ze nidiful manake naona kuna gap mahali lol
Usije, tuma tu kwa njia ya posta.
Watakuja dear wala usijali,wew jiandae tuu..sasa sijajua utazipokea kwa mtindo upi...!
Mimi hapa, umesema?