MWILI NYUMBA
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 817
- 256
Wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli,
Nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha
haupo peke yako:tape2:
Pole shoshti kwa kuchelewa kuwang'amua hawa viumbe wabaya. Wenzio tulishawang'amua siku nyingi tukaamua kuwa watawa.
HAHAHAAAAAAAAAAAAA! (Its not a laughing matter and im ashamed of my self.)
There is only 1 golden rule that will guarantee you happiness in any relationship!
NEVER EVER EXPECT ANYTHING!!!!!!!!!!!!!!!! Trust me you wont be disappointed.
Ila if you have the whole thing planned you are in for some serious disappointments.
pole sana dada, huna kazi ya kufanya au majukumu mengine? be serious kwenye mambo yako ya msingi. n
Wanawake tunapenda kusingizia wanaume sana wakati wanawake wengi huwa hawajui makosa yao au kuwa wanakitu/tabia inakimbiza wanaume hao.
hata walio kwenye ndoa wanasema wanaume wakati wao wake ndio chanzo cha matatizo na hawajijui.
jaribu kujiuliza inakuwaje na ni bhada ya nini, na wewe pia uwa unaongea nini kwao.
kuna wasichana wengine wanaongea sanaaaaaaa, wengine wanataka bana wanaume kwa kuwafatilia hata baada ya kujuana siku moja tu, wengine wana story nyingi zinazoweza subiri baadae, hata za familia yangu hivi ndugu vile.
usikate tamaa
kwa hiyo na wewe umejiunga.mi mwenzenu nadekezwa kwa raha zangu.
Wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli,
Nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha
Na mimi nimeamua kuwa padri.Karibu kwenye utumishi binti.Pole shoshti kwa kuchelewa kuwang'amua hawa viumbe wabaya. Wenzio tulishawang'amua siku nyingi tukaamua kuwa watawa.
Wanawake tunapenda kusingizia wanaume sana wakati wanawake wengi huwa hawajui makosa yao au kuwa wanakitu/tabia inakimbiza wanaume hao.
hata walio kwenye ndoa wanasema wanaume wakati wao wake ndio chanzo cha matatizo na hawajijui.
jaribu kujiuliza inakuwaje na ni bhada ya nini, na wewe pia uwa unaongea nini kwao.
kuna wasichana wengine wanaongea sanaaaaaaa, wengine wanataka bana wanaume kwa kuwafatilia hata baada ya kujuana siku moja tu, wengine wana story nyingi zinazoweza subiri baadae, hata za familia yangu hivi ndugu vile.
usikate tamaa
Mzab siyo vizuri kumwambia mwenzio hivyo, unazidi kushindilia msumari wa moto kwenye kidonda. keshaumizwa inatakiwa tumpe moyo, lakini wewe unagongelea pale pale Loh!hahha sema ulishagegedwa vyakutosha na huolewi
Jaribu wanawake wenzio... AU kuna mmoja alishamnunua 'jerimani shefadi'.....Wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli,
Nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha
Hata kama huwa mnatukalia lakini sisi si kiti cha shetani.......Mtasema yotee lakini mtarudi tu, chezeya genye weye...hayajakukuta ndio maana unaongea tuuu!!! hatuwezi kuwakwepa lakini hivyo ndivyo ilivyo!!! mwanaume ni kiti cha shetani...
ukivunja ungo utakuja kuniambia..
Wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli,
Nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha
hayajakukuta ndio maana unaongea tuuu!!! hatuwezi kuwakwepa lakini hivyo ndivyo ilivyo!!! mwanaume ni kiti cha shetani...
ukivunja ungo utakuja kuniambia..
Wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli,
Nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha
Wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli,
Nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha
niPM nkuonyeshe tofauti