Mimi tena wanaume basi!

Mimi tena wanaume basi!

Wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli,
Nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha

umekutana nao wangapi wenye sifa hizo.?
 
Wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli,
Nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha

Nakutakia safari njema!
 
Wanawake tunapenda kusingizia wanaume sana wakati wanawake wengi huwa hawajui makosa yao au kuwa wanakitu/tabia inakimbiza wanaume hao.

hata walio kwenye ndoa wanasema wanaume wakati wao wake ndio chanzo cha matatizo na hawajijui.

jaribu kujiuliza inakuwaje na ni bhada ya nini, na wewe pia uwa unaongea nini kwao.
kuna wasichana wengine wanaongea sanaaaaaaa, wengine wanataka bana wanaume kwa kuwafatilia hata baada ya kujuana siku moja tu, wengine wana story nyingi zinazoweza subiri baadae, hata za familia yangu hivi ndugu vile.

usikate tamaa
 
Wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli,
Nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha

Mi mmoja nimemwambia ukweli kanipiga kibuti ningemdanganya mambo mswano
 
HAHAHAAAAAAAAAAAAA! (Its not a laughing matter and im ashamed of my self.)

There is only 1 golden rule that will guarantee you happiness in any relationship!

NEVER EVER EXPECT ANYTHING!!!!!!!!!!!!!!!! Trust me you wont be disappointed.

Ila if you have the whole thing planned you are in for some serious disappointments.
 
Wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli,
Nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha
Pole shoshti kwa kuchelewa kuwang'amua hawa viumbe wabaya. Wenzio tulishawang'amua siku nyingi tukaamua kuwa watawa.
 
Back
Top Bottom