Mimi tarehe 25 ni CCM

Mimi tarehe 25 ni CCM

MIMI TAREHE 25 NI CCM:
Nimejipanga kisaikolojia,kimwili na kiakili,mimi tarehe 25 Oktoba kura yangu ni kwa CCM tuu

Jana tulipiga kura za maoni ofisini kwetu hapa airtel quality center tulikuwa wafanyakazi 388 .. kura zilizoharibika ni 3, magufuli alipata kura 4,lowasa alipata kura 381. Kwaio utaona jinsi gani lowasa anavyokubalika. Tutawapiga asubuhi mapema tu.
 
Back
Top Bottom