chiko mkunungu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 729
- 646
Piga chini fasta malaya uyo.
Ushauri wa kiduwanzi huu ushauri gani huu wanaume tukiacha tumeacha atumrudii mwanamke,uyo mwanamke amecheat afai kabisa. wanaume tukimuacha mwanamke tunamuacha solemba mana wako wengi sasa ww uendelee na mwanamke wa dizain hii wa nini piga chini mazima wanawake wapo wengi sana...Kwanza jaman Tuwapende ma Dada wakazi [emoji23][emoji23], Dada wakazi alikurahisishia mzigo.
Pili,,,,Mimi naumiaga nausaliti wakushuhudia ,, km nimie Ningejitazama ,, kama Nina mwanamke tayar Basi ningemwambia Changanya mbaliga.... Km Niko alone bado ( ningemsamehe kwa mapozi + ningemwambia Pima+ plus kujua kwamba huko kaumizwa kwaiyo angejitahidi afanye awezalo ili kukuonyesha nimpya kwako AISEEEEEE angekua mwema sana sababu Mapito yake yangemsahihisha).
Duuuuhhhh aiseeeUshauri wa kiduwanzi huu ushauri gani huu wanaume tukiacha tumeacha atumrudii mwanamke,uyo mwanamke amecheat afai kabisa. wanaume tukimuacha mwanamke tunamuacha solemba mana wako wengi sasa ww uendelee na mwanamke wa dizain hii wa nini piga chini mazima wanawake wapo wengi sana...
Usiruhusu mwanamke akutawale yani unakuta dume zima lina mlilia mwanamke aiseee mm uwa nakerekwa sana na wanaume wanao walilia wanawake yani unatoa chozi kwa mwanamke eti kisa akutaki unalia aisee ukiwa karibu na mm naweza nikakuzaba makofi mana una tuaibisha sisi wanaume yani tunavowabuluza wanawake na kuwaendesha kuwapelekesha pelekesha kama magari mabovu ww una walilia ni uduwanzi kiukweli mwanamke usimrusu akujue ww undani wako na usimrusu akutawale uwo ni upumbavu mwanaume lazima uwe na misimamo na c kupelekeshwa pelekeshwa ukitingishwa kidogo tu na mwanamke unanza pagawa lialia uchoko uwo.....Duuuuhhhh aiseee
Duuhh mkuuu ,,sijawahi Lilia mwanamke wala haitokuja Lilia mwanamke kwasababu ninadharau alafu ninauhakika wakua na mwanamke ninayeona ananifaaa.Usiruhusu mwanamke akutawale yani unakuta dume zima lina mlilia mwanamke aiseee mm uwa nakerekwa sana na wanaume wanao walilia wanawake yani unatoa chozi kwa mwanamke eti kisa akutaki unalia aisee ukiwa karibu na mm naweza nikakuzaba makofi mana una tuaibisha sisi wanaume yani tunavowabuluza wanawake na kuwaendesha kuwapelekesha pelekesha kama magari mabovu ww una walilia ni uduwanzi kiukweli mwanamke usimrusu akujue ww undani wako na usimrusu akutawale uwo ni upumbavu mwanaume lazima uwe na misimamo na c kupelekeshwa pelekeshwa ukitingishwa kidogo tu na mwanamke unanza pagawa lialia uchoko uwo.....
Jahahaha..! Huyo shosti yenu ana akili mbovu zilizotukuka.Shangaa na wewe, wanawake tunashindwaga kutumia akili tunajua hawa waliotufadhili mbavu ulevi wao ni papuchi lkn ukijiombesha msamaha kwa kumtegea papuchi hehehehehe kinaliwa na husamehewi na dharau juu
Tutumie vichwa na papuchi kuwin trust au msamaha kwa hawa wenye mbavu original
HahahaMtu kama huyo ukifka unavuta kiti pembeni unachukua biblia na msahafu vyote kwa pamoja unasoma, mkononi umeshka tasbhi au rozali huku ukiskiliza gospo au kaswida kwa mbali. Hapo hakikisha umeshaweka oda ya sanda na jeneza, mana ataamka taratbu ataenda dukan atanunua kamba atajining'iniza/jinyonga atakufa utazika.
Mnaonyesha nyie hampendi wastaharabuNdio ilikuwa dawa yake,sema ideologist wetu mstarabu sana
Zimeoza kabisaJahahaha..! Huyo shosti yenu ana akili mbovu zilizotukuka.
Binafsi napenda wastaarabu,ila huyu msichana anaonekana hajielewi/hajieshimuMnaonyesha nyie hampendi wastaharabu