Mimi siyo nabii ila natabiri

MR BINGO

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2016
Posts
1,216
Reaction score
2,614
Kama nilivyosema hapo Juu ila natoa utabiri Kuwa Moja ya Sababu Kuu itakayomuondoa Kocha aliyechukua Mikoba ya Manqoba Mngqithi Hapo Jangwani Bwana Fadlu Davies ni kuwa Anatumika na Wapinzani wao Simba Sports Club kuwahujumu

NB:Hili litatokea bila kutegemea mwendelezo wa ushindi au hata kama atafanikiwa kuchukua ubingwa akiwa hapo jangwani ila ukifika muda wake wa kuondoka Hiyo ndo skendo kubwa itakayomuondoa
 
Namna hiyo tungemuondoa Senzo ,Manara ,Zimbwe ,Mkude n.k kwa kutumia tuhuma hizo kifupi ni kwamba Fadlu anachukua ubingwa msimu huu na atajenga project Moja matata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…