Yaani nimecheka comment za Hii mada we acha tu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Mwanamama kumbe na wewe ulikuwa gizani nilitaka nije pm unisadie kufasirKidogo nimetuliapo loh
Hahahahaa.....Yaani nimecheka comment za Hii mada we acha tu
Yaani nilijaribu aya ya kwanza kuscroll nakuta gazeti la kingereza nikajisemea kimoyo moyo hee magufuli shikamoo baba nipo na wewe ktk kampeni ya kupenda vya nyumbani,Mwanamama kumbe na wewe ulikuwa gizani nilitaka nije pm unisadie kufasir
Nilitaka kuendelea nikajua ni vionjo ili story iwe nzur nashangaa kila paragraph ni hivyo nikajua hakuna vionjo huyu anamaanisha nika slide kwa speed ad comment.Yaani nilijaribu aya ya kwanza kuscroll nakuta gazeti la kingereza nikajisemea kimoyo moyo hee magufuli shikamoo baba nipo na wewe ktk kampeni ya kupenda vya nyumbani,
Hahahahahaa pole mkuu mimi naipenda lugha mama, kiswahiliNilitaka kuendelea nikajua ni vionjo ili story iwe nzur nashangaa kila paragraph ni hivyo nikajua hakuna vionjo huyu anamaanisha nika slide kwa speed ad comment.
Mwanamama kumbe na wewe ulikuwa gizani nilitaka nije pm unisadie kufasir
nachekaaa jamannnn............mna vituko sanaaaNilitaka kuendelea nikajua ni vionjo ili story iwe nzur nashangaa kila paragraph ni hivyo nikajua hakuna vionjo huyu anamaanisha nika slide kwa speed ad comment.
Tunamaanisha et sio vituko mrembo wetunachekaaa jamannnn............mna vituko sanaaa
Sio vituko lugha ngumu hiyo mkuunachekaaa jamannnn............mna vituko sanaaa
might be niliko toa nae kapata huko,.. or maybe ni scenarios tuu zina fanana unajua hivi vitu vinatokea kila mahali,..The story remind me about " *Jack The Desire * when she was bad *
Ndiko umeitoa au ???
Kumbe umeelewa ntakuja unitafsirie leo usiku km saa mbili[emoji85] [emoji85] [emoji85]The story remind me about " *Jack The Desire * when she was bad *
Ndiko umeitoa au ???
Hahahaaa mkuu tutafsirie plishhhh kumbe we umeelewa!!!Ahh pole stori nzuri tujifunze next time, tusivunje mikataba ovyo.😀
poa poa !!.might be niliko toa nae kapata huko,.. or maybe ni scenarios tuu zina fanana unajua hivi vitu vinatokea kila mahali,..
Baby iyo ni kingereza ya Malikia Elizabeth , tena ile ya wakat wa king james.Kumbe umeelewa ntakuja unitafsirie leo usiku km saa mbili[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Kapeace umenivunja mbavuHapa ndo huwa namkumbuka magufuli jamani jf tupende vya kwetu(lugha ya taifa)
Hahahahaha mkuuu ...huuu Uzi kwaheshima na taazima nmeamua kuusasikiraibuYaani nshahisi kizunguzungu
Twende taratibu si unajua mimi kinanisumbuapo kidogoBaby iyo ni kingereza ya Malikia Elizabeth , tena ile ya wakat wa king james.
Pooole jomonii kabebilitoKapeace umenivunja mbavu