General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,317
- 23,192
Unataka uolewe na nani Miss wangu??
Ninae muhenga wangu hataki tu kuoa ila ananitoshaUnataka uolewe na nani Miss wangu??
Kwahiyo na wewe hutaki kuolewa?
Aya Miss, tekeleza majukumu yako!!
Dah [emoji1]Masingle maza huwa nawachekiiiiii halafu nasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii[emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa anapakwa nini?
Huo ni ubaguziMh!kwa kweli kuoa mwanamke mwenye mtoto angali aliyemtia mimba bado yupo hai haingii akilini hakuna mwanaume anayependa kupashiwa kiporo moto asilani huwa tunaishi kimashaka sana utasema unataka kufa kumbe unamchunga asiende kumbushia .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ubaguzi unaanzaje mechi mwenzako ana goli moja? Halafu jua kuwa kama ana mtt na jamaa yake yupo hai atakuwa analiwa tu mkuu mi bora niongee ukweli kama jamaa yake amekufa na nilikuwa namfahamu tu na nilihudhuria mazishi yake woooi naoa chap na mtt anakuwa wangu .ila kinachouma ni ile kupashiwa kiporo moto
Siafiki unachokisema single mama wangapi wameolewa na wametulia kwenye ndoa zao ukimkuta anayekumbushia na mwanaume alimtelekekeza huyo hajitambui nitabia yakeSio ubaguzi unaanzaje mechi mwenzako ana goli moja? Halafu jua kuwa kama ana mtt na jamaa yake yupo hai atakuwa analiwa tu mkuu mi bora niongee ukweli kama jamaa yake amekufa na nilikuwa namfahamu tu na nilihudhuria mazishi yake woooi naoa chap na mtt anakuwa wangu .ila kinachouma ni ile kupashiwa kiporo moto
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani umeelewaHakuna kitu kinaitwa single maza.ni single parent.eti ukizaa kama hujaolewa unaitwa single maza.kwani ukiolewa unakuwa double maza?
Kulea ni kulea tu uwe na ndoa au single wajibu wa mzazi kwa mtoto upo pale pale tuache kupeana majina na vyeo visivo na maana.
Sent using Jamii Forums mobile app