Mimi sio single mother

we kama ni single mother ni single mama tu...after all waliosema hivyo ni wenye lugha yao huko kwa malikia...kwenye kiswahili hatuna direct meaning ya neno Single mother

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh!kwa kweli kuoa mwanamke mwenye mtoto angali aliyemtia mimba bado yupo hai haingii akilini hakuna mwanaume anayependa kupashiwa kiporo moto asilani huwa tunaishi kimashaka sana utasema unataka kufa kumbe unamchunga asiende kumbushia .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya single parent, kuna hili neno la kiswahili " Msimbe" hivi linamaanisha nini kweli na kama lina maana sawa kwann tusianze kutumia hilo maake hilo la single mother kumbe linawauthi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…