Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Mzazi ni mzazi tu uwe single au na ndoakwani we single parent?tuanzie hapo kwanza maana sio kwa povu hilo binti
Hata sijui ngoja nichekikwani we single parent?tuanzie hapo kwanza maana sio kwa povu hilo binti
Shida yake kwa walio wengi ni kukumbuka Edeni hata akishakuwa kwenye commitment nyingine
Loh ahahaaa mtura wa Moshi unawekwa hadi mavi ya mbuzi ila mtamu balaa
Ahsante mkuuHakuna kitu kinaitwa single maza.ni single parent.eti ukizaa kama hujaolewa unaitwa single maza.kwani ukiolewa unakuwa double maza?
Kulea ni kulea tu uwe na ndoa au single wajibu wa mzazi kwa mtoto upo pale pale tuache kupeana majina na vyeo visivo na maana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unapika au ndio unazingua?Loh ahahaaa mtura wa Moshi unawekwa hadi mavi ya mbuzi ila mtamu balaa
Sent using Jamii Forums mobile app