Wife material mbona unazeeka vibaya? Nisipokutoa out ukasononeka mi ntaishije? Hujui msononeko wako ni adhabu kwangu? Kwa lugha nyepesi, unauliza shehe mstikitini?tema mate chini hubby! ukiniacha, mi nahamia mars! dunia tena itakuwa haifai kwangu, leo unanitoa out?
tobaaaaaaaa hii sasa kashfa kwa hubby wangu!Tushampa babu hela ya kukutoa cacico usiwe na wasi wasi we endelea tuu kumpapasa papasa Babu huenda ukaambulia mtoko leo maana Yummy na BADILI TABIA nao wanasubiri
unajua kunibembeleza, ndio haswa nilichokupendea! sitoki kwako ng'o! basi usisononeke! nipo kwako tu!Wife material mbona unazeeka vibaya? Nisipokutoa out ukasononeka mi ntaishije? Hujui msononeko wako ni adhabu kwangu? Kwa lugha nyepesi, unauliza shehe mstikitini?
Wife material alishaniapia cacico alishaniapia hawezi kuniruhusu nife kabla yake. Ikitokea ukaniua ujue kishatangulia peponi anasubiri kunilaki. Penzi la peponi tamuje my wife material?hakuna wa kunituliza moyo bila wewe cacico
nitampa babu sumu aondoke duniani kukupata tuu wewe
kombolela lako ni moto mbaya
mhhhhhh! jamani maumbeya haya, lol! kwaresma bado, cjui mtatubu saa ngapi?Young_Master nilikuta cheti chako kimedondoka pale njini kati pale sokoni wamama wauza nyanya wanakiongelea aise
Ndo maana nikasema nije nikupe pole na nimchukue mkeo cacico kwenda kucheza nae kombolela ni hilo tuu
Anajua tunakutana wapi so naomba kwa mchana huu kabla hajaenda kwa Babu Asprin nicheze nae kombolela
Nimezisikia kelele za chura honey, eti zaweza ninyima mie tembo kunywa maji kwenye kikombe chako malkia wangu?
ukiongelea mambo ya alcohol inanogaje sasa?? naaminia kichwa chako!Jack Daniel wenzio ndo twaifanya chai... haina usumbufu kwenye mbongo ya ODM.
Babu unajua kudanganywa aise
Hapo hebu muulize hiyo perfume anayonukia kaitoa wapi
Na muulize lile gauni alivaa juzi kalitoa wapi japo alikudanganya kuwa amelipwa pesa za mchezo ndo akanunua
Halafu muulize vile viatu na mkoba mpya anaosema eti kaazima kwa Kaunga
Na then mwezi uliopita alileta kitanda kipya eti anasema amekopa kwa fundi mangi pale mtaani
Na hiyo simu na ipad anayokuambia kuwa eti kakopa kwa mpemba pale mtaani kwako
Toka lini duka la mpemba la mtaani wakauza BB na Ipad aise
Ongeza kumnunulia na Lamborghini bana, mwisho wa siku navitumia mie kwa raha zangu. We wagharamia mie nala. Mie nampenda akiwa uchiiii weye wampenda akiwa kavaa? cacico come this way my love, come without ok??
tena kunywa mpaka upaliwe! ni wewe tu nimekupa funguo za mahakama!Nimezisikia kelele za chura honey, eti zaweza ninyima mie tembo kunywa maji kwenye kikombe chako malkia wangu?
mwahhh bby yangu! wakuacha nasema, tena wakuache kwa karne nzimaaaaa! lolWife material alishaniapia cacico alishaniapia hawezi kuniruhusu nife kabla yake. Ikitokea ukaniua ujue kishatangulia peponi anasubiri kunilaki. Penzi la peponi tamuje my wife material?
tena ulivyokuwa unanihonga visenti vyako, na mi mbio kumnunulia Asprin zawadi! upo hapo??Babu unajua kudanganywa aise
Hapo hebu muulize hiyo perfume anayonukia kaitoa wapi
Na muulize lile gauni alivaa juzi kalitoa wapi japo alikudanganya kuwa amelipwa pesa za mchezo ndo akanunua
Halafu muulize vile viatu na mkoba mpya anaosema eti kaazima kwa Kaunga
Na then mwezi uliopita alileta kitanda kipya eti anasema amekopa kwa fundi mangi pale mtaani
Na hiyo simu na ipad anayokuambia kuwa eti kakopa kwa mpemba pale mtaani kwako
Toka lini duka la mpemba la mtaani wakauza BB na Ipad aise
mwahhh bby yangu! wakuacha nasema, tena wakuache kwa karne nzimaaaaa! lol