Mimi nitaongea na wanaume kila siku

Mimi nitaongea na wanaume kila siku

Sababu kubwa ya wanaume kufukuzia wanawake wanaojiuza huwa ni kwenda kupoza hasira na machungu ya kubaniwa na wake zao kimapenzi.

Kwenye ngono za kununua hawanyimwi wala kubaniwa na wafanya biashara za ngono kwa kuwa huilipia huduma hiyo.

Huwa ni kulipa cash tu na kufanya wapendavyo baada ya hapo huwa game over.

Mnaowanyimaga waume zenu mjitafakari.
Wenyewe wakumbuke kutembea na kings maan wadada wengi siku hizi wanatembea na gono hadi kweny mikoba
 
Wahenga walisema: Mfucha uchi hazai

Eid El Fitri to everybody,
 
Sababu kubwa ya wanaume kufukuzia wanawake wanaojiuza huwa ni kwenda kupoza hasira na machungu ya kubaniwa na wake zao kimapenzi.

Kwenye ngono za kununua hawanyimwi wala kubaniwa na wafanya biashara za ngono kwa kuwa huilipia huduma hiyo.

Huwa ni kulipa cash tu na kufanya wapendavyo baada ya hapo huwa game over.

Mnaowanyimaga waume zenu mjitafakari.

Mwanamke mmoja hawezi mtosheleza kingono mwanamme kamwe.
 
Back
Top Bottom