Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,965
- 210,364
Tumemaliza kujitafakari.Mnaowanyimaga waume zenu mjitafakari.
Soln sasa?
Tumemaliza kujitafakari.Mnaowanyimaga waume zenu mjitafakari.
Wewe itakuwa ni mgeni na wanawake ,au haujaoa.Mwanamke gani anaweza kumnyima Mwanaume Uke?
Huyo atakuwa sio mkeo tena.
Tunakupenda pia!😉Sana chibaba
Mimi huwa natulia sema tu sijampata bado😊😉Hata tukiwapa masaa24 bado watatoka nje si wanausemi wao kwamba wanabadilisha radha😬
Kila siku maharage kila siku maharage aah inabidi utoke kidogo ubadirishe mboga uko nje,Hata tukiwapa masaa24 bado watatoka nje si wanausemi wao kwamba wanabadilisha radha😬
Hebu twende PM unijuze ""Kuna shida gani?""Sababu kubwa ya wanaume kufukuzia wanawake wanaojiuza huwa ni kwenda kupoza hasira na machungu ya kubaniwa na wake zao kimapenzi.
Kwenye ngono za kununua hawanyimwi wala kubaniwa na wafanya biashara za ngono kwa kuwa huilipia huduma hiyo.
Huwa ni kulipa cash tu na kufanya wapendavyo baada ya hapo huwa game over.
Mnaowanyimaga waume zenu mjitafakari.
Si ndo viben 10Hivi kuna wanaume pia huwa wanauza hii huduma? #kutoamber?
Havina ishu hivyo vilamba lipsSi ndo viben 10
Tafuta tu mwanaume mpe mkataba, akukunje mara kadhaa kwa wiki, wewe mwisho wa mwezi unampa kibunda chake.....[emoji23]Havina ishu hivyo vilamba lips