Mimi nipo nipojee?

Mimi nipo nipojee?

omereyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
308
Reaction score
91
Mbona natongozwa sana na wanaume!kila ninapoenda lazima nivutie midume!aagh niachen jamani mm mwanaume mwenzenu!
 
Khaa!
We haujui tu!
Ukiona ivo ujue wewe mzuri!
Haya mimi ke na natongozwa sana na ke wenzangu! Naomba uniPM tuwe pamoja bathiii!
 
Mbona natongozwa sana na wanaume!kila ninapoenda lazima nivutie midume!aagh niachen jamani mm mwanaume mwenzenu!
JF fanyeni mpango haya matangazo ya biashara yatozwe japo 500 kwa tangazo. Halafu mbona kama unaifurahia hiyo hali mkuu au..?
 
Acheni nyie!ww unauliza umri ili nini?mimi nimetoa taswira kama msanii ya jamii hiyo mnayoiona.sitafuti humu kwani hao tu walionitongoza ni watu nimekutana nao........choko nyie
 
Khaa!
We haujui tu!
Ukiona ivo ujue wewe mzuri!
Haya mimi ke na natongozwa sana na ke wenzangu! Naomba uniPM tuwe pamoja bathiii!

Nita kutumia blutusi ili unielekeze inawezekanaje ke na ke!
 
Back
Top Bottom