Fedor von Bock
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,321
- 2,158
Na sisi tusio kuwa maeneo ya Kimara tuna comment wapi sasa..!!
kwa makonda
Na sisi tusio kuwa maeneo ya Kimara tuna comment wapi sasa..!!
huangaliagi muvi? Ujue mlio wa bomu ukojeMimi nipo kimara baruti kunasikika mlipuko mara 3 sasa sijui ni kitu gani,ila sio maeneo yetu ni kusini mashariki ukiwa kimara baruti.
Asante
Aliyesema "hiyooooooooooooooo" yuko wapi yeye?Niko liquid bar hapa pembeni niko na pierre , mara namskia anapiga kelele " HIYOOOOOOOOOOOOOOO" , nikawa nacheka , kumbe mwenzetu anamaanisha Mlipuko , ghafla tukaskia BOOM BOOM BOOM , Watu wote tuko chini sasa hivi . Natext niko chini ya meza wadau
Ilikuwa mara 03?Transformer inaripuka mara tatu eeh
Taarifa niliyosikia ni Kwamba korea kaskazini walitesiti makombora yao kuelekea japani japani wakayageuza kwa mitambo yao ya kuzuia makombora wakayaelekezea Tanzania limeanguka hapo MombasaMimi nipo kimara baruti kunasikika mlipuko mara 3 sasa sijui ni kitu gani,ila sio maeneo yetu ni kusini mashariki ukiwa kimara baruti.
Asante