Mimi nimekupenda sana, labda ni vigumu kunielewa kutokana na ukimya wangu lakini unaweza ukanielewa vema kama utasoma maneno yaliyo ndani ya macho yangu....
Eee kumbe na mimi naeza kuwa muandishi mzuri wa mambo ya mapenzi sema basi tu sijaamua. mnasemaje niamue au nisiamue?