Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,748
- 32,367
Pole mkuu ndo wako ivo wanawake wengi sikuhizi,Wanawake wa siku hizi mtatuua sisi wanaume ambao bado tunahisia za mapenzi.
Kuna sehemu huwa naenda mara moja moja kufanya service. Sasa kutokana na kuwa nikipeleka gari huwa napenda kusubiria hapo hapo kufuatilia utendaji wa fundi. Basi nikajenga mazoea ya kukaa kwenye kiduka flani ambacho pia mwenye nacho ni mdada mmoja chotara wa kipare na kiarabu.
Huyu dada pia ana saloon hapo hapo. So nakaa naagiza maji au soda nakunywa taratibu. Mdada akanizoea na tukawa marafiki tukipeana namba za simu. Ilitokea nlikuwa nahitaji mtu wa kufuatilia issues flan TRA basi nilipomshirikisha huyu dada akaniambia ana mtu wake anaweza nishughulikia.
Kweli zoezi lilifanyika likaisha. Siku moja mdada akanitumia text ana shida ya pesa kiasi flani. Nikamtumia pesa. Baada ya week akaniambia pia amepata changamoto nimuazime kiasi flani. Nikamtumia.
Aliniahidi kunitumia siku flani. Ikafika akawa kimya,siku mbili nikaona nimkumbushe. Kwa unyonge sana akaniambia nikachukue sehemu flani. Nlienda mkuta amekaa kwenye meza pombe zimezunguka na marafiki wengine. Akanitaka nikae naye. Sikukubali. Nikaomba tu nipate pesa yangu niondoke.akanipa kwa shingo upande sana.
Next week akanipigia tena kuwa ana changamoto nimpatie kiasi flani. Nikamwambia sina. Akaninunia kama siku 3 hivi. Nami nikanyamaza. Akaamua kunitafuta. This time akanipigia akisema amekwama sehemu ana shida na pesa. Nikamwonea huruma nikamtumia.
Nimekuja gundua huyu bidada anapenda sana pombe. Baada ya kusimuliwa kuwa mara kadhaa akinywa anaanza kutamba kuwa yeye anapesa. Na anatembea na watu wenye pesa.
Siku hiyo anaongea kuwa kuna kakijana kalimtongoza kakampeleka kunywa amekanyewea beer 20. Anaongea akitamba kabisa na kusema yeye hadhi yake ni watu kama mimi ndo anaotembea nao si aina ya yule bishoo n.k akawa anaongea akimponda na kunichafua mimi.
Maana kwa tabia zile kusema anatembea na mimi kwa kweli ilikuwa ni kunichafua...ni sawa na mtu kama we** aseme anatoka na mimi.
Niliumia kuwa ile pesa nimemtumia mara ya mwisho kumbe alikuwa akinywa na wenzie na mwishowe akawaambia ana mpenzi mpya ngoja amwombe pesa waongezee wanunue kinywaji kingine kinaitwa Hennesy.
Hayo yote anaongea kwa watu ambao hajui wananifahamu na nina heshimiana nao. Huyu dada mwanzoni nlimwona kama ana akili since pia ni single mother nikawa namwonea huruma. But kumbe ni wa hovyo sana. Jambo hili limenikatisha tamaa ya urafiki na watu wa namna hii. Kilio changu wanawake wa miaka hii.
Kwa nini mnaweka pesa mbele?hamwoni aibu kabisa kuomba pesa na kutaka maisha ya juu?tunaweza walaumu wanaume wanaoacha wanawake but kumbe kuna wanawake wa hovyo sana.
Mkuu si unamgea tu buku tano ya kulaPole mkuu ndo wako ivo wanawange wengi sikuhizi,
Mimi Kuna Dem nilichukua namba nikawa tunachat Wazo la kumtaka nlikuwa nalo ila sio muda ule maana nina mke na familia so nikichepuka lazima iwe well organized.
Bas bana siku zikawa zinaenda Mimi Wala Sina shobo nae nikimcheki leo inaweza ikapita siku nne sijamcheki bila kujali uzuri wake, shepu na tako juu.
Juzi si nikamcheki, hee! Nikaambiwa.. "nna njaa"
Tatizo Ni kwamba na uzuri wote ule alionao kitendo Cha kunambia ,ana njaa, nikamshusha vyeo vyote.Mkuu si unamgea tu buku tano ya kula