Mimi ni Simba: ila hii Yanga inakera

Ukweli Yanga wanakera, timu haifungwi, timu hausuruhu, timu tangu ligi imeanza iko nafas ya kwanza, mvua zikaja bado iko nafas ya kwanza, hidaya kaja kapita Yanga bado iko nafas ya kwanza

Ukwel Yanga wanaifanya ligi ionekane haina ushindani, TFF liangalieni hili Yanga wana haribu Ligi, ivi vitimu vya nafasi ya tatu na ya pili vinaonekana havipo serious - maana vyenyewee vinagombea nafasi ya pili na ya tatu na vinaona rahaView attachment 2985610
Mashabiki wa simba muwe mnakumbuka na kula aisee! I think this is too much.
 
Back
Top Bottom